- 16,416 viewsDuration: 25sMbunge huyu wa upinzani Time Kadrijaj amemrushia mayai Waziri Mkuu wa muda wa Kosovo Albin Kurti wakati wa kikao cha bunge siku ya Jumamosi. Waziri Mkuu Albin Kurti aliomba muda zaidi wa kufanya mazungumzo na vyama vingine kabla ya kupiga kura ya kumchagua spika mpya wa bunge lakini upinzani haukuridhishwa na hali hiyo, ndipo tukio la kurushiana mayai likatokea. #bbcswahili #Kosovo #AlbinKurti Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw