- 2,390 viewsDuration: 2:05Tafakari hali hii, umefika katika eneo la burudani na mbali na kuifurahisha nafsi yako kwa kupata burudani na muziki, unapokea pia masomo mbali mbali kama ilivyokuwa shuleni, ila tu mazingira ndiyo yaliyobadilika. Hii ndio taswira ambayo mwandishi wetu @beldeen__waliaula alikumbana nayo alipozuru eneo moja la burudani Jijini Nairobi ambapo wateja waliofika wanasema kwamba wanapata mafunzo muhimu kuhusu masuala mbali mbali katika jamii, na bado wakifurahia vinywaji vyao. - - 📹@brianmala #bbcswahili #burudani #nairobi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw