Skip to main content
Skip to main content

Mgomo wa mabasi: Madereva wa mabasi wagoma Tanzania

  • | BBC Swahili
    82,931 views
    Duration: 2:50
    Mkoa wa Dodoma nchini Tanzania ni miongoni mwa maeneo yaliyoathirika na mgomo wa mabasi uliofanyika nchini humo. Baadhi ya abiria wanasema mgomo huo umeathiri ratiba zao huku madereva wakitaka madai yao yasikilizwe. Hivi ndivyo hali ilivyo kuwa #bbcswahili #tanzania #mgomowamadereva Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw