- 199 viewsDuration: 3:09Ukosefu wa mafuta ya petroli ulishuhudiwa kwa siku ya tatu mfululizo katika maeneo mengi humu nchini licha ya serikali kupuuzilia mbali hofu ya Wakenya kuhusu uhaba wa bidhaa hiyo. Milolongo mirefu ilishuhudiwa kwenye vituo vingi vya mafuta jijini Nairobi huku baadhi ya magari yakikwama baada ya kuishiwa na mafuta. Waziri wa kawi Opiyo Wandayi amesema hali hiyo imesababishwa na hitilafu kwenye mfumo wa usambazaji. Allan Aoko anatufungulia taarifa zetu kwa ripoti hii. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive