- 2,799 viewsDuration: 2:21Mzee mashuhuri nchini Tanzania aliyewahi kuhudumu serikalini wakati wa awamu ya kwanza Joseph Butiku amewataka kutumia vyema mitandao ya kijamii na kutowekeza imani yao kwa kila mtu zaidi kuwa na machaguo Butiko pia amesisitiza umuhimu wa watanzania kuwa na imani na tume ya Jaji Lila iliundwa na rais kuchunguza kiini hasa za kilichotokea wakati wa uchaguzi mkuu mwezi oktoba 2025 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw