- 40,807 viewsDuration: 1:25Mkuu wa kitengo maalum cha kumlinda Rais wa Kenya William Ruto ameondolewa katika wadhifa huo. Kwanini Mabadiliko hayo makubwa katika kikosi cha ulinzi wa Rais yamefanyika? @pmwangangi_ anaelezea #bbcswahili #kenya #usalama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw