- 6,680 viewsDuration: 38sTazama tukio hili la mlanguzi wa dawa za kulevya alipojikuta ana kwa ana na maafisa wa polisi waliokuwa kwenye msako wa nyumba kwa nyumba. Mtuhumiwa huyo alikuwa akijaribu kuwatoroka polisi, lakini alikumbana nao kwenye mlango wa nyuma wa nyumba alipokuwa akikimbia Picha za drone zilimuonyesha kijana huyo mwenye umri wa miaka 20 akikimbilia kwenye bustani ya nyumba huko Basildon, Uingereza, wakati polisi wa Essex walipovunja mlango wa mbele wa nyumba hiyo. Alikamatwa kwenye lango la nyuma akiwa na zaidi ya dola 1,855 taslimu pamoja na vifurushi vya dawa za kulevya za kundi A. #bbcswahili #uingereza #dawazakulevya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw