Skip to main content
Skip to main content

Mlipuko wa tauni urusi: Hospitali yawekwa karantini

  • | BBC Swahili
    14,220 views
    Duration: 2:01
    Mfanyakazi mmoja wa maabara nchini Urusi amefariki dunia na maelfu ya watu wamewekwa karantini baada ya mlipuko wa ugonjwa wa tauni. Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema aina ya tauni ya mapafu inaambukiza kwa urahisi zaidi na “inaweza kusababisha mlipuko mkubwa”. @frankmavura anaeleza kila kitu unachohitaji kujua kuhusu ugonjwa huo. #bbcswahili #bbcswahili #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw