Skip to main content
Skip to main content

Msafara wa KRA watua kaunti ya Laikipia

  • | KBC Video
    65 views
    Duration: 53s
    Wakazi wa Kaunti ya Laikipia hivi leo walistahimili mvua na kibaridi ili kulainisha rekodi zao na halmashauri ya ukusanyaji ushuru humu nchini KRA. Licha ya hali hiyo ya hewa, mamia ya walipa kodi walipata usaidizi kutoka kwa wafanyikazi wa KRA kuwasilisha marejesho yao ya kodi kupitia mpango mpya wa kujihudumia. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive