Skip to main content
Skip to main content

Muonekano usiwe sababu ya kunyanyaswa mtandaoni

  • | BBC Swahili
    30,924 views
    Duration: 1:39
    Valentina Moi @vale_nafaka kijana wa Kitanzania mwenye miaka 24 anayefanya kilimo biashara na kutengeneza maudhui mtandaoni, amekuwa akikumbana na matusi na unyanyasaji mtandaoni kutokana na umbo lake. Anasema hakuchagua kuwa na mwonekano huo, na amejifunza kukabiliana na kauli hizo licha ya kwamba wakati mwingine humuumiza. Mwandishi wa BBC, @scolarkisanga, amezungumza naye katika Makala ya Waridi wa BBC na kutuandalia taarifa hii. 🎥: @frankmavura - - #bbcswahili #waridiwabbc #wanawake #kilimo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw