Skip to main content
Skip to main content

Muyseveni: Kwanini Uganda haijawekeza kiwanda cha mafuta Kenya?

  • | BBC Swahili
    86,558 views
    Duration: 1:34
    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema anaunga mkono mradi mpya wa kusafisha mafuta wa Dangote Lamu nchini Kenya lakini akatangaza kuwa Uganda haitowekeza fedha zake katika mradi huo kwa sasa. - Je hii ina maanisha nini? Mariam Mjahid analezea #bbcswahili #kenya #tanzania #lamurefinery Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw