Skip to main content
Skip to main content

Mwaka 2025 ushuhudia ongezeko la ukiukaji wa haki za binaadamu Afrika Mashariki

  • | Citizen TV
    452 views
    Duration: 9:11
    Mwaka wa 2025 ulishuhudia visa vya ukiukaji wa haki za binaadam katika mataifa ya Afrika mashariki. Ni mwaka huo ambapo visa vya utekaji nyara, mateso na hata mauaji yalishuhudiwa kwa kiwango kikubwa huku serikali za Kenya, Uganda na Tanzania zikilaumiwa kwa kushirikiana kwa ukandamizaji wa haki kwenye kanda hii ya Afrika mashariki. Miongoni mwa waliojipata njia panda ni wanaharakati wa humu nchini waliotekwa nyara, na kuzuiliwa mataifa ya kigeni