Skip to main content
Skip to main content

Mwamuzi wa Somalia aandika historia mpya UEFA

  • | BBC Swahili
    10,988 views
    Duration: 1:40
    Alizuiwa kuingia Marekani akiwa njiani kwenda Kombe la Dunia, leo, mwamuzi huyo huyo anapata nafasi ya kuandika historia Ulaya. Omar Artan wa Somalia anakuwa mwamuzi wa kwanza kutoka nje ya Ulaya kuchezesha mchezo wa UEFA Super Cup utaowakunisha Psg na Villa usiku huu. Lakini uteuzi huu una hadithi kubwa nyuma yake kutoka safari iliyokatizwa Miami hadi kupewa nafasi kwenye moja ya mechi kubwa zaidi za soka la Ulaya. - - #bbcswahili #soka #kandanda #michezo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw