2 Jan 2026 7:42 pm | Citizen TV 9,853 views Duration: 1:57 Mwanamume aliyemuua chatu baada ya kumshambulia na kumuua mbwa wake katika kijiji cha Luoka eneo la Madungu kaunti ya Siaya, amepata afueni baada ya kuhakikishiwa kwamba atapokea fidia ya serikali.