- 23,696 viewsDuration: 18sKamera za CCTV imemnasa mwanamume akinusurika katika shambulio la droni nchini Ukraine. Shambulio hilo lilitokea karibu na shule ya chekechea katika kijiji cha Sviatopetrivske siku ya Alhamisi, na kusababisha mlipuko mkubwa. #bbcswahili #ukraine #vitaukraine Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw