Skip to main content
Skip to main content

Mwanaume aokolewa chini ya vifusi baada ya shambulio la urusi

  • | BBC Swahili
    3,928 views
    Duration: 53s
    Tazama Video ya kuhuzunisha ikionyesha jinsi mwanaume huyu aliyekuwa amenasa chini ya vifusi akiokolewa baada ya shambulio la Urusi katika mji wa Kramatorsk, mashariki mwa Ukraine. Wanajeshi waliokuwa karibu walikimbia kumsaidia, huku tukio hilo likirekodiwa na kamera iliyokuwa imevaliwa na mmoja wa wanajeshi. #bbcswahili #ukrainenaurusi #shambulioukraine Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw