- 12,169 viewsDuration: 1:01Ilikuwa huzuni na vilio mwili wa Waziri mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga ulipowasili katika uwanja wa kitaifa wa Nyayo kwa hafla ya kitaifa ya kumuaga Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw