Skip to main content
Skip to main content

Mwizi wa simu aruka bwawani kukimbia polisi

  • | BBC Swahili
    10,372 views
    Duration: 35s
    Mwanamume mwenye umri wa miaka 21, anayeshukiwa kuiba simu, aliruka ndani ya bwawa alipokuwa akikimbia polisi ili kukwepa kukamatwa. Kamera za CCTV na kamera zilizovaliwa na polisi zilinasa tukio hilo likiwemo la mtuhumiwa kutupa simu ndani ya maji. Polisi walimkamata na kuingia ndani ya bwawa kuzitoa simu hizo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kupambana na wizi wa simu jijini London. #bbcswahili #wiziwasimulondon #polisi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw