Maafisa kutoka idara ya upelelezi na jinai kutoka kituo cha polisi ya Mutende, kaunti ya Vihiga wanafanya uchunguzi kubainisha kifo cha mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya wasichana ya Vokoli ambaye alifariki alipofikishwa katika hospitali ya rufaa ya mMbale.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya