Skip to main content
Skip to main content

Mzee ashushwa kutoka jengo lililoshambuliwa na droni ya Urusi Kyiv

  • | BBC Swahili
    9,361 views
    Duration: 48s
    Tazama mzee huyu akishuka kutoka jengo la chuo kikuu mjini Kyiv lililoshambuliwa na droni ya Urusi Chuo cha Taifa cha Sayansi cha Ukraine kilishambuliwa na droni ya Urusi Jumatatu na kusababisha vifo vya watu wasiopungua wawili. Wafanyakazi wa zima moto waliwasaidia watu kuondoka katika jengo hilo kupitia madirishani, huku moshi mzito mweusi ukifuka kutoka kwenye jengo hilo. #bbcswahili #ukraine #urusi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw