Skip to main content
Skip to main content

Nepal: Mafuriko ya ghafla yasomba nyumba na kuharibu vijiji

  • | BBC Swahili
    4,311 views
    Duration: 36s
    Mafuriko ya ghafla yaliyotokea katikati mwa Nepal siku ya Jumapili yamesomba nyumba na kuharibu vijiji viwili. Watu watano hawajulikani walipo. Maafisa wanafanya uchunguzi kubaini kama maafa hayo yamesababishwa na maporomoko ya ardhi au theluji. Tukio hili limetokea miezi miwili baada ya mafuriko makubwa katika maeneo ya mpakani mwa Nepal na Tibet, yaliyosababisha vifo vya zaidi ya watu 1,400 huku maelfu ya wengine wakipotea. #bbcswahili #nepali #mafuriko #haliyahewa #mvuakubwa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw