- 1,713 viewsDuration: 2:14Msimu mpya wa soka Tanzania Bara unaanza kwa kishindo! 🔥⚽️ Ngao ya Jamii inafungua pazia la msimu wa 2026/27, huku Yanga na Simba zikikabiliana Zanzibar katika dabi yenye presha kubwa. Simba inalenga kulipa kisasi baada ya kupoteza Ngao ya Jamii iliyopita, huku Yanga ikitaka kuanza msimu mpya kwa kunyanyua taji. Na baada ya hapo, Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza rasmi Agosti 14. Mwandishi wa BBC, Omary Mkambara @loko_omi, anatueleza zaidi. 🎥: @frankmavura Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw