- 141,143 viewsDuration: 2:11Israel imeanza kuimarisha ukaguzi wa kiusalama kwa marubani wanaoingia nchini humo kwa ndege, Hii ni baada ya kuripotiwa kuwa rubani msaidizi wa ndege ya flydubai iliyokuwa ikielekea Tel Aviv alimchoma kisu rubani mkuu na kujaribu kuangusha ndege. Je nini kilitokea? Mariam Mjahid anaelezea #bbcswahili #flydubai #telaviv Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw