Skip to main content
Skip to main content

Nini kinafuata baada ya mateka wa Israel na wafungwa wa Gaza kuachiliwa? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    23,270 views
    Duration: 28:10
    Siku moja baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano ambayo yalitoa fursa ya kuachiliwa kwa mateka 20 wa Israel waliokuwa hai, na mamia ya wafungwa wa Kipalestina ili kuungana na familia zao, kuna wasiwasi kuhusu hatua inayofuata kwa Gaza. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw