- 34,402 viewsDuration: 1:45Papa Leo wa 14, mwenye umri wa miaka 71, atalazwa katika hospitali ya Gemelli jijini Roma kwa takriban wiki moja, kuanzia Oktoba 13, 2026, kwa ajili ya upasuaji wa kuondoa uvimbe mdogo kwenye pafu lake. Hata hivyo, bado haijafahamika iwapo uvimbe huo ni wa saratani au la. Majibu yatapatikana baada ya uvimbe kuondolewa na kufanyiwa uchunguzi wa maabara. Mwandishi wa BBC Phillys Mwatee na taarifa zaidi. 🎥: Frank Mavura #bbcswahili #vatican #papaleonxiv Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw