Skip to main content
Skip to main content

Polisi amwokoa Abiria baada ya kuteleza kwenye Treni

  • | BBC Swahili
    8,009 views
    Duration: 23s
    Tazama tukio la kushtua ambapo polisi alimwokoa abiria mwenye umri wa miaka 49 baada ya kuteleza wakati akipanda treni iliyokuwa ikiondoka. Abiria huyo alipata majeraha madogo tu. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw