Skip to main content
Skip to main content

Polisi ang’ang’ania gari kwa km 40 kuwanasa wasafirishaji haramu

  • | BBC Swahili
    9,503 views
    Duration: 28s
    Tazama afisa huyu wa polisi alivyong’ang’ania juu ya paa la gari lililokuwa kwenye mwendo kwa kilomita 40 akijaribu kuzuia genge lililokuwa likisafirisha bidhaa zilizopigwa marufuku. Gari hilo lilikuwa limebeba Gutka, aina ya tumbaku ya kutafuna iliyopigwa marufuku, pamoja na bidhaa nyingine zisizoruhusiwa huko nchini India Polisi walifanikiwa kusimamisha gari hilo na afisa huyo alishuka bila kupata majeraha. #bbcswahili #india #gutka Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw