- 51,351 viewsDuration: 2:39Usalama unaendelea kuimarishwa kwenye miji mikubwa nchini Tanzania ambapo kumeshuhudiwa maafisa wa polisi na jeshi wenye silaa wakifanya doria, huku Serikali ikionya kuwa itachukua hatua dhidi ya mtu yeyote atakayehamasisha vurugu. Maafisa hao wameonekana kwa wingi katika maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kwenye mizunguko ya barabara na mitaa katika jiji kuu la kibiashara la Dar es Salaam na miji mingine. #bbcswahili #tanzania #usalama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw