Skip to main content
Skip to main content

Polisi wadaiwa kumuua kwa risasi mfanyabiashara huko Karatina

  • | KBC Video
    269 views
    Duration: 1:39
    MAUAJI TATANISHI Halmashauri ya kutathmini utendakazi wa polisi IPOA imeanzisha uchunguzi kuhusu kisa cha ufyatuaji risasi kinachodaiwa kuhusisha maafisa wa polisi kutoka kituo cha polisi cha Karatina kaunti ya Nyeri hapo jana. Kupitia taarifa, mwenyekiti wa halmashauri hiyo Isaack Hassan, amesema uchunguzi huo utaangazia matukio yaliyosababisha kuuawa kwa kupigwa risasi kwa George Gathu Matheri, baada ya kujibizana kwa muda mfupi na maafisa hao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive