Skip to main content
Skip to main content

Raila Odinga atuzwa heshima ya juu zaidi Kenya. Matangazo ya Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    11,222 views
    Duration: 28:11
    Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya na kinara wa chama cha ODM Raila Odinga ametambuliwa kama shujaa kwenye hafla ya kuwakumbuka 'mashujaa' waliojitoa muhanga kwa ajili ya kupigania taifa kwa njia moja au nyingine. Rais William Ruto, alimpokeza Raila heshima ya juu kabisa inayopawa raia wa Kenya. #railaodinga #kenya #bbcswahilileo #bbcswahili #bbcswahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw