Skip to main content
Skip to main content

Roboti wenye umbo la binadamu kufanya kazi Uwanja wa Ndege Japan

  • | BBC Swahili
    11,183 views
    Duration: 1:30
    Shirika la ndege la Japan Airlines (JAL) linaanza kutumia roboti wenye umbo la binadamu katika kazi za ardhini kwenye Uwanja wa Ndege wa Haneda, Tokyo kuanzia mwezi Mei, katika jaribio la miaka miwili linalolenga kupunguza mzigo wa kazi kwa wafanyakazi. Shirika hilo linatarajia kuwa roboti hao pia wataweza kutumika kusafisha ndani ya ndege na kuendesha vifaa vya huduma za ardhini siku zijazo. #bbcswahili #japan #Teknolojia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw