- 10,902 viewsDuration: 37sMsanii wa China, Wu Yufei, ameunda kundi lisilo la kawaida la kucheza linalojumuisha roboti zinazofanana na binadamu. Wu aliwafundisha roboti hao kucheza kwa mpangilio mmoja, huku wakichanganya dansi na miondoko ya kung fu. Na kwa pamoja, wamefanikiwa kushiriki mashindano ya kucheza hadi kufika fainali ya shindano la kimataifa la America’s Got Talent. #bbcswahili #china #robotiAGT Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw