Skip to main content
Skip to main content

Ronaldo na Mchumba wake Georgina Rodríguez wafunga ndoa

  • | BBC Swahili
    9,286 views
    Duration: 1:26
    Nyota na mshambuliaji wa timu ya Ureno Cristiano Ronaldo, Hatimaye amefunga pingu za maisha na mpenzi wake wa muda mrefu, mwanamitindo na mshawishi wa mitandao ya kijamii mwenye asili ya Argentina na Hispania bi Georgina Rodríguez, katika 'harusi ya mwaka' nchini Ureno. Je wewe unauvimilivu kiasi hicho? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw