Skip to main content
Skip to main content

Ruto apongeza upanuzi wa afisi ya Umoja wa Mataifa Nairobi

  • | KBC Video
    611 views
    Duration: 2:55
    Rais William Ruto ametaja uboreshaji na upanuzi wa ofisi ya umoja wa mataifa jijini Nairobi kuwa kielelezo thabiti cha ushirikishwaji, usawa wa kijiografia na umoja katika mfumo wa shirika la umoja wa Mataifa. Akizungumza wakati wa hafla ya kuweka jiwe la msingi kwa ujenzi wa ofisi iliyopanuliwa huko Gigiri, alipoandamana na katibu mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Guterres, Rais Ruto alisema mradi huo wa mageuzi utachangia miundombinu muhimu kuwa ya kisasa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive