Skip to main content
Skip to main content

Ruto asema hajutii maamuzi yake ya awali

  • | KBC Video
    6,568 views
    Duration: 2:51
    Rais William Ruto amesema hajutii maamuzi aliyoyatekeleza tangu achaguliwe kuwa rais wa tano wa taifa hili. Akizungumza katika ikulu ya Nairobi baada ya kushuhudia uapisho wa majaji wapya 37, rais Ruto alisema alisimama imara katika kutekeleza maamuzi magumu ili kustawisha taifa hili, akiwahimiza majaji wapya walioteuliwa kutoogopa kuwa na msimamo sawia. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive