- 9,812 viewsDuration: 17sHali ilivyokuwa baada ya shambulio lililolenga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Riyadh Saudia. Watu 12 wameuawa na zaidi ya 300 wamejeruhiwa katika shambulio hilo ambalo limesababisha vifo vingi zaidi katika nchi za Ghuba tangu kuanza kwa vita vya Iran. Kundi la waasi wa Houthi nchini Yemen limetoa onyo jipya kwa kampuni zote za ndege, likizitaka kutotumia viwanja vya ndege vya Saudi Arabia. Kundi hilo limesema lilihusika na mashambulizi tofauti yaliyolenga uwanja huo wa ndege siku ya Alhamisi. #bbcswahili #houthi #yemen #saudiarabia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw