- 2,053 viewsDuration: 2:00Katika Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Ishara na kwa kuadhimisha miaka 75 tangu kutangazwa kwa haki za binadamu kwa watu wasioweza kusikia vizuri au wasioweza kusikia kabisa, lugha inasalia kuwa haki ya kimsingi ambayo mara nyingi haizingatiwi. Nchini Kenya, watoto wengi wasio na uwezo wa kusikia wanakabiliwa na hatari ya kukosa elimu bora kwa sababu mfumo uliopo hauwapi ujuzi unaostahili ili kuwasiliana kuandika kwa ufanisi au kupata fursa sawa na wengine katika elimu ya juu, ajira na huduma za kijamii. Mwandishi wa BBC @officialthekamande2 ana taarifa zaidi - - 📹 @brianmala #bbcswahili #lughayaishara #Elimu #ulemavu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw