- 131 viewsDuration: 1:58Wadau katika sekta ya vyombo vya habari wameibua wasiwasi kuhusiana na usalama wa wanahabari kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.Walionya kuwa kukithiri kwa visa vya utovu wa usalama na kuhangaishwa huenda vikahujumu uadilifu wa habari za uchaguzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive