- 90,117 viewsDuration: 2:06Kifo cha ghafla cha mfanyabiashara mashuhuri wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, kimeibua maswali kuhusu safari yake ya biashara na utajiri mkubwa alioujenga. Chivayo alifariki katika ajali ya helikopta. @mariammjahid anaeleza safari yake ya biashara na alivyofikia utajiri huo #bbcswahili #chivayo #zimbabwe Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw