Skip to main content
Skip to main content

Siri ya uhusiano wa karibu kati ya uganda na israel

  • | BBC Swahili
    55,837 views
    Duration: 2:01
    Kwa nini Uganda na Israel wana uhusiano wa karibu? Historia yake inaanzia mwaka 1976 wakati Israel ilipofanya moja ya operesheni maarufu zaidi za uokoaji wa mateka duniani Operesheni Entebbe Miaka 50 baadaye uhusiano huo bado unaendelea kuonekana katika usalama na ushirikiano wa kijeshi. @sarafinarobi anaelezea jinsi kaka mkubwa wa waziri mkuu wa sasa wa Israel Benjami Netanyahu Yonatan Netanyahu alivvyohusika pia. #bbcswahili #uganda #opereshenientebbe Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw