Skip to main content
Skip to main content

Tatizo la Alepocia: "Nina miaka 23 na nywele zangu zinanyonyoka."

  • | BBC Swahili
    1,555 views
    Duration: 6:10
    Sharon Chepkoech, maarufu kama Kechi, ana miaka 23 na anaishi na alopecia, hali inayosababisha nywele kung’oka. Alopecia, ni tatizo la kung’oka nywele na linakadiriwa kuwaathiri watu milioni 160 duniani kote. Lakini kwa hali ya kawaida, huwapata watu wenye umri wa makamo au mkubwa. Hali ambayo ni tofauti kwa Sharon Chepkoech aliyegundua kuwa na tatizo hili mwaka jana. Amezungumza na mwanahabari wa BBC Asha Juma na kutuandalia taarifa ifuatayo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw