Skip to main content
Skip to main content

Tazama ajali mbaya na kutisha meli ya mizigo ilipo gonga boti ndogo ya uvuvi

  • | BBC Swahili
    18,972 views
    Duration: 42s
    Tazama tukio la kutisha wakati meli kubwa ya mizigo iliigonga boti ndogo ya uvuvi katika eneo la bahari karibu na Singapore. Bado haijafahamika ikiwa kuna watu waliojeruhiwa au kufariki, wala chanzo cha ajali hiyo iliyonaswa kwa simu. - - - #bbcswahili #trending #foryou #ajali #singapore Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw