- 6,274 viewsDuration: 32sRoketi ya China, Long March 7A, ilishindwa kuendelea na kulipuka wakati wa kurushwa kwake Agosti 10 huko Wenchang, Hainan, China. Vyombo vya habari vya serikali viliripoti kuwa hitilafu hiyo ilitokana na "tatizo lisilo la kawaida wakati wa safari ya roketi". Kwa mujibu wa Reuters, hii ilikuwa mara ya kwanza kwa roketi hiyo kushindwa tangu safari yake ya kwanza ya anga mwezi Machi 2020. #bbcswahili #China #Roketi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw