Skip to main content
Skip to main content

Tazama lori lilivyogonga barabara ya juu

  • | BBC Swahili
    4,113 views
    Duration: 28s
    Camera ya barabarani imenasa tukio la lori kugonga daraja la juu mjini New York. Baada ya kugonga daraja hilo, lori hilo kubwa lilianguka upande mmoja, likateleza barabarani na hatimaye kuligonga gari aina ya Toyota lililokuwa limeegeshwa. Polisi wamesema dereva wa gari dogo alipelekwa hospitalini ila dereva wa lori hakupata majeraha, lakini alipewa adhabu kwa kuendesha gari lililozidi kiwango cha juu cha urefu kinachoruhusiwa. - - Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw