Skip to main content
Skip to main content

Tembo mama amwokoa mwanae aliyesombwa na maji

  • | BBC Swahili
    8,302 views
    Duration: 36s
    Tembo huyu alinaswa kwenye video akimwokoa mtoto wake baada ya kusombwa na mkondo mkali wa maji ya mto katika jimbo la Uttarakhand kaskazini mwa India. Mtoto huyo wa tembo anayeaminika kuwa na umri wa karibu mwezi mmoja, alihangaika katika mto huo wenye mkondo mkali kabla ya mama yake kuingia haraka majini na kumsaidia kufika salama ukingoni mwa mto. #bbcswahili #india #wanyama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw