Skip to main content
Skip to main content

Traoré azindua kiwanda cha kusafisha dhahabu Burkina Faso

  • | BBC Swahili
    59,028 views
    Duration: 1:38
    Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Ibrahim Traoré, amezindua kiwanda cha kwanza cha kusafisha dhahabu nchini humo. Kiwanda hicho kina uwezo wa kusafisha hadi tani 164 za dhahabu kwa mwaka, huku uwezo huo ukitarajiwa kuongezeka hadi tani 515. Traoré anasema Burkina Faso inalenga kusafisha na kuongeza thamani ya rasilimali zake ndani ya nchi badala ya kusafirisha malighafi nje. Je, hatua hii inaweza kubadilisha namna Burkina Faso inavyonufaika na rasilimali zake za madini? @mariammjahid anaelezea #bbcswahili #burkinafaso #ibrahimtraore Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw