Skip to main content
Skip to main content

Trump atetea shambulizi la Marekani nchini Iran. Katika Dira ya dunia TV

  • | BBC Swahili
    32,967 views
    Duration: 28:16
    Rais wa Marekani Donald Trump ametetea hatua za taifa lake dhidi ya Iran. Akiielezea Iran kama 'tishio', Trump alisema Marekani ndiyo nchi pekee iliyokuwa tayari 'kukabiliana na taifa hilo. Aliongeza kuwa sasa anakabiliwa na uamuzi wa iwapo atafikia makubaliano na Iran au kuiangamiza kabisa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw