- 15,969 viewsDuration: 1:30"Tume hii inakwenda kutafuta nani hasa waliochochoa, waliohusika, waliotoa fedha ili mambo yale yatokee ndani ya nchi yetu" Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezindua Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika matukio ya ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Ikulu jijini Dar es Salaam. 3bbcswahili #tanzania oktoba29 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw