Tume huru ya uchaguzi na mipaka hapa nchini-IEBC imesema inahitaji shilingi bilioni-74 kuandaa uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa kuaminika. Ikiwa mbele ya kamati ya bunge la kitaifa kuhusu haki na masuala ya sheria ikiwasilisha makisio ya bajeti ya kipindi cha kifedha cha mwaka 2026/2027, tume ya IEBC imesema kwamba imetengewa shilingi bilioni-41 pekee, ikiwa na nakisi ya shilingi bilioni-33, hatua ambayo makamishna wake wanasema inaweza kuhujumu shughuli zake wakati wa uchaguzi mkuu ujao. Abdiaziz Hashim atuarifu zaidi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive