Skip to main content
Skip to main content

Ukungu waonekana kama maporomoko ya maji juu ya daraja

  • | BBC Swahili
    19,765 views
    Duration: 18s
    Tazama ukungu huu ukionekana kama ‘maporomoko ya maji’ ukimwagika juu ya Daraja la Golden Gate huko San Francisco, California. Hali hii hutokea pale hewa yenye joto na unyevunyevu, kwa kawaida kutoka Bahari ya Pasifiki, inapopita juu ya maji baridi ya Ghuba ya San Francisco. Hewa hiyo inapofika kwenye nchi kavu inayozunguka eneo hilo, huanza kupata joto na kusababisha ukungu kupungua. Lakini unapopita juu ya vilima, ukungu huo hushuka kwa kasi na kuonekana kama maporomoko ya maji #bbcswahili #pasifiki #california Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw